Wale makamanda walio toka geita mpaka dar es salaam wakiwa na nia ya kwenda ikulu kuonana na rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania.
Wakiwa watatu mara tu baada ya kuwasili jiji la dar es salaam safari yao ya kwenda kumfikishia rais ujumbe wao na kuidai Tanganyika na wakiwa na ujumbe mwingine mzito walio toka nao geita hatimaye wali shindwa kufika magogoni na safari yao ikaishia kwa mkuu wa wilaya ya kinondoni. Mbali na safari kuishia kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya huyo bali mkuu wa wilaya huyo wa kinondoni ali watolea maneno yaliyo jaa uzalilishaji na unyanyasaji wa kila namna na matusi makubwa pasipo kujali lolote na kuamua kuseama yeye ni Rais na vile vile ikulu ipo wilayani kwake yani kinondoni kitu ambacho ni uongo uliokithiri na kuwaita vijana hao niwachafu kwaiyo hawastaili kwenda ikulu na hata pale ofisini kwake aliwaamuru vijana hao wasikalie viti vya ofisini kwake na kuwaamuru wakae chini kwenye sakafu.
Baada ya mazungumzo ya muda mrefu mkuu wa wilaya huyo aliawamuru vijana hao wampe ujumbe waliokuwa wanataka kumpelekea rais Jakaya Mrisho kikwete ikulu ndipo vijana hao walipo goma na kumjibu kuwa nia yao ni kuonana na rais na sio mkuu wa wilaya wanatakabkumwona raisi alie chaguliwa na wananchi wabjumuhurinya muungano wa tanzania.
Baada ya kutoka ofisini kwa mkuu huyo wa wilaya vijana hao waliendelea na dhamira yao ya kuelekea magogoni ndipo mkuu wa wa wilaya alipo amuruvijana hao wakamatwe na polisi.
Hivi leo mapema asubuhi wamerudi tena polisi kuripoti na bado nia yao ipo palepale ya kwenda ikulu