Tuesday, December 30, 2014
Ukiukwaji wa haki za binadamu na unyama ukatili ulipitiliza wa serikali ya ccm
2014 ni mwaka ambao ulijaa mauaji mengi ya watu wasio na hatia.
Idara ya polisi ndio inayoongza kwa kupiga na kuua watu bila sababu na polisi wamefanya hivyo kwa maagizo ya ccm.na polisi bila wao kujua wamejenga uadui mkubwa na wananchi na hii hatari kwao.
Kuna mapigano ya wakulima na wafugaji nchi nzima haya Nayo yamesababisha mauaji ya watu wengi hadi watoto.
Haya yote ukiyachunguza vizuri utakuta chama kinachoongoza nchi kimeshindwa kwa sehemu kubwa sana kusimamia sheria za nchi na kuongoza.
Rushwa imetawala kila kona ya nchi hadi mahakaamani ni rushwa ukweli ni kwamba ccm imeshindwa kuongoza nchi.
Watanzania lazima tuamke tutafute chama mbadala ili kuiondoa serikali ya ccm na kuweka chama kingine madarakani.
Picha juu zina onesha baadhi tu ya matuki yaliojaa umyama na ukiukwaji wa haki za binadamu ukatili wa jeshi la polisi kwa binadamu mauaji ya raia wasio na hatia mauaji ya waandishi wa habari kiukweli ni unyanyasaji uliopilizia na ukiukwaji wa haki na uhuru wa binadamu,
Matumizimabovu ya madaraka yanapelekea mauwaji na kunyanyaswaji wa rai kimsingi yote haya yanasababishwa na uroho wa madara wa serikali ya CCM
TUTAFAKARI WATANZANIA JE TUENDELEE CHINI YA SERIKALI YA CCM AU TUIONDOE HIO SERIKALI??