Grace mboka akiwa kwenye kutano wa hadhara kapunga mbarali
Mtiania ya ubunge wa jimbo la mbarali aliyevaa kombati na skafuakiwa kwenye mkutano katika kijiji cha kapunga
Upande wake wa kulia ni F.B.I wa chadema Bw. Allan Bujo anaye fuata ni kamanda Vicky
Yote ni katika harakati za ukombozi wa jimbo na nchi